Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haki ya nani kunitoa hapo juu everlenk hamuwezi! Wewe Hiyo nafasi ya tatu unastahiri kuwepo mpk ligi inakwisha! Yani ukinipita Mimi Ukawa juu yangu msimu huu nakula majalalani km Nzi hahahaaaaa!

Hahahaha!!!! Subiri sasa uone mwakani tunavyonyanyua ndoo juuu,Sijui utazimia!!!! Mark this day I will remind you my prophecy.
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kutake care ya majukumu muhimu ya kila siku, ni kweli huu ni mwezi wa neema kubwa. Kila la heri kwa yote uyatakayo.

Hahahaha!! Nijirushe wapi majukumu tu ndo yalinibana sana si unajua tena huu mwezi wa neema.
 
Hongera kwa kutake care ya majukumu muhimu ya kila siku, ni kweli huu ni mwezi wa neema kubwa. Kila la heri kwa yote uyatakayo.

Ameen,asante sana,uwe na wakati mwema
 
Reactions: BAK

nasisitiza tena,Liverpool vs Man utd sio derby match,ile ni mechi kubwa tu ya ushindani kutokana na historia ya timu hizo mbili,hata kwenye hyo list ya derby UK derby matches hii match haipo.
 
nasisitiza tena,Liverpool vs Man utd sio derby match,ile ni mechi kubwa tu ya ushindani kutokana na historia ya timu hizo mbili,hata kwenye hyo list ya derby UK derby matches hii match haipo.

Ya liva na MU sio derby ya jiji yenyewe ipo hivi:
North West derby: primarily refers to Liverpool v Manchester United
 
Liverpool vs Man Utd sio DERBY match,derby match inakutanisha timu zinazotoka eneo/sehemu moja.Mfano Arsenal vs Tottenham,Liverpool vs Everton,Man Utd vs Man Utd etc

Anaongelea derby kwa timu zilizo na mafanikio sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…