Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Football fun unaangalia any competative game ukipata nafasi, au wewe ndio wale mpaka timu zao zicheze ndio waangalie mpira?
Rudi darasani ujifunze kutofautisha kati ya fun na fan... akili mgando, ndio maana ukakurupuka na viroja. Chelsea mnachukua CL kwa mbinu chafu hakuna aliyetoa mapovu
ahsante kwa kunirekebisha hapo kwenye FAN /FUN, ila ungesoma hizo hoja zilipoanzia naamaini ungeelewa zaidi,
Chelsea were lucky to win UCL wala sibishi kwenye hilo, ila its the same to your time now, unless unapingana na statistics za mechi zenu za karibuni
Zipi?? Kama tuna 3 shoots on target alafu 2 ni magoli huoni we are accurate?? Ball Possession dhidi ya Arsenal ni almost the same maana difference haizidi 10%, same story na SOTON hawakutuzidi sana na jana tulicheza defensive game. Tuna majeruhi lukuki, hatuwezi pambana 100% na timu ambayo tunajua they can make a single mistake which can benefit us, that's the philosophy. Hizi timu ndogo huitaji kutumia nguvu nyingi, waache wacheze wewe pata nafasi chache tumia zote vizuri. Angalia game ya Chelsea na Man City jinsi tulivyofunguka, ni kwasababu tulijua hizo ndio timu tunazopambana nazo kukaa pale Top 4. Arsenal amekua na shoots on target average 7 kwa kila mechi lakini waangalie walipo..
Siongezi neno hapa
tangu msimu huu umeanza jana ndio nimemuona Van Persie akicheza football....suddenly jana alikuwa ana energy ajabu,anakaba anakimbia almost uwanja mzima tofauti na mechi zilizopita ambazo alikuwa so lethargic!! kumbe LVG alikuwa anajua anachofanya kuendelea kumpanga amebadilika sana mechi hii
Asante sana BAK,jana nilichoka sana hata sikuiona mechi kwa hapo no comment,but naona kiwango hakikuwa kizuri kulingana na maoni ya wengi hata highlight nilizozipitia zaonyesha haikuwa poa sana,lakini ninachoshukuru na kufurahia pamoja na hayo yote wamenipa raha ya 3 points na sasa tuko pazuri kuelekea pale namba 1,Lol
STATS za jana ndio hizo.
wote huwa tunachapia, lugha hii wengi tumejifunzia ukubwani sidhani kama na wewe unahitaji kurudi shule kujua tofauti ya SHOTS na SHOOTS....ni shots on target and NOT shoots on target.....u shoot to get shot on target.
Zipi?? Kama tuna 3 shoots on target alafu 2 ni magoli huoni we are accurate?? Ball Possession dhidi ya Arsenal ni almost the same maana difference haizidi 10%, same story na SOTON hawakutuzidi sana na jana tulicheza defensive game. Tuna majeruhi lukuki, hatuwezi pambana 100% na timu ambayo tunajua they can make a single mistake which can benefit us, that's the philosophy. Hizi timu ndogo huitaji kutumia nguvu nyingi, waache wacheze wewe pata nafasi chache tumia zote vizuri. Angalia game ya Chelsea na Man City jinsi tulivyofunguka, ni kwasababu tulijua hizo ndio timu tunazopambana nazo kukaa pale Top 4. Arsenal amekua na shoots on target average 7 kwa kila mechi lakini waangalie walipo..
Asante sana BAK,jana nilichoka sana hata sikuiona mechi kwa hapo no comment,but naona kiwango hakikuwa kizuri kulingana na maoni ya wengi hata highlight nilizozipitia zaonyesha haikuwa poa sana,lakini ninachoshukuru na kufurahia pamoja na hayo yote wamenipa raha ya 3 points na sasa tuko pazuri kuelekea pale namba 1,Lol
Majeruhi sawa ,ia hakuna team inayoplan kuwa na 2 or 3 shots on target kwa dakika tisini,
hivi huyu Falcao anendelea kulipwa mshahara ?