Wine Romney kwa ulalamishi bana hajambo ... ... ... halafu wanafunga goli la ngekewa ... . then baada ya mechi watakuja vifua mbele ati timu yao ni bora . .. . ...
Van Persie leo yupo safi sana anakaba na kumiliki mpira vizuri. Kitendo cha kupooza mpira kinatusaidia sana hawa jamaa ukitaka kucheza mpira wa kasi ni wabaya. Tatizo kubwa na makosa ya kuwapa mpira kwenye maeneo ya hatari