Unajua kwa mfumo wa LVG wa kuchezesha beki wa kati watatu, unamfaa sana Young coz anapanda na kushuka vizuri sana.
Anarudi kukaba kwa haraka na ana kasi ya kupandisha mashambulizi.
Ova
Hii mechi ya leo ni ngumu sana kwetu, kuna umuhimu wa kuwatangulia goli za kutosha, hili moja wala halitoshi. Maana pale pale kati kama wametupoteza hivi.
Ova