Safiiiiiiii!! Nyie ni timu nzuri sana basi tu ufundi ndo hamna,huwa nafurahia sana nikiangalia games za Arsenal maana unapata burudani isiyo na kifani.
Kaka Rutta.. huu ndio utaratibu wa hii thread???
Tupa kule Wenger!!!! then we can compete at the highest level with any team on this planet.
Kweli wenger asingeanzia sub mngekuwa na magoli mengi mno... Sindio mfungaji wenu bora???
#JusKidding ila mmecheza vizuri BAK na De Gea katubeba saana tuu with his saves
Haaaa!! Haaaaaa!!Wenger bahili sana... soon sanchez atachoka mana macho ya kocha na mashabiki yote kwake
Can we please play with arsenal every weekend..
Dogo Degea kipa bomba sana kaokoa jahazi leo, bila yeye na katika baadhi ya mechi za nyuma mngekuwa bado mko chini sana.
Hakika.. Na ikitokea kama kuna ukweli wakawapa Madrid itakua uongozi unaumwa ugonjwa hatari zaidi ya hata hii ebola...
Pia nasikia mnataka mrudisha Henry kubeba mikoba ya Wenger hiyo kweli au nazo ni tetesi tuu??
Mpk mwishoni mwa December itakua
1. Chelsea
2. Man City
3. Man Utd
Tusipo endelea kuwapoteza key players, UTD itakuwa juu ya City...
Nakuhakikishia hilo.