Kosa la Rafael, huyu mangi kazingua aisee..
Khe Khe Khe Khe Khe timu ya kata yapata goli la pili 2-3
Khe Khe Khe Khe timu ya kata yapata goli la tatu 3-3
Kosa la Rafael, huyu mangi kazingua aisee..
rafael hana kosa mkuu...refa ndo hayuko sirias...embu chek gol la kwanza....penat tena!!
Beki ya kati bado shida
Refa kafanya makosa mawili ambayo ingekuwa kwa United😷😷😷😷
Hivi vijamaa vimepata confidence sana sasa...