Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Avatar yako inaonyesha wewe ni mbeya sana ahasante Mungu hatukaribiani hata kiduchu ungekuwa unaishi Njiro ningekuwa na mashaka na ndoa yangu kwa umbeya wako.

Reactions: Nzi
Avatar yako inaonyesha wewe ni mbeya sana ahasante Mungu hatukaribiani hata kiduchu ungekuwa unaishi Njiro ningekuwa na mashaka na ndoa yangu kwa umbeya wako.

avatar yako inaonesha wewe ni mzee sana ahsante mungu kwa kunikwepesha na wazee ambao ningewachukilia wake zao
 
Safi sana giggsy. You are a lengend
 
Starting line up:-

Dea gea, Shaw, Rafael, Rojo, Evans, Herrera, Rooney, RSVP, Falcao, Malta, DiMaria

The £38 million Mata is on the bench.

Kama ni kuchagua based on previous performance, Van Persie ndo alitakiwa apigwe bench na siyo Mata.

Kwa staili hii itambidi Mata atafute pa kwenda. He doesn't fit in LVG team.
 
4-3-3 leo ndo Formation mbele akiwa Rooney Falcao & Van-P
#GGMU
****
Leo Nitakuwa naifuatilia game mwanzo mwisho ila nikiweza takuwa nina update na huku pia..!!
 
Mpira yumeanza, mwelekeo tutauona baadaya dk 15 za kwanza
 
The £38 million Mata is on the bench.

Kama ni kuchagua based on previous performance, Van Persie ndo alitakiwa apigwe bench na siyo Mata.

Kwa staili hii itambidi Mata atafute pa kwenda. He doesn't fit in LVG team.

Hizo ni tactics mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…