Hahahahahaha lol!!!! Naona leo mmepata la kuongea mbona hutaki kujibu swali langu bhanaaaa!! Ni aje Mkuu? Naona bado hamjatimia lakini wengi bado wako msituni kwa sababu wanaona ushindi huu si wa kujivunia. Hata hivyo BAK anasema hongereni sana. Mmejitahidi sana leo hatimaye mmpeata points tatu nza kwanza katika msinu huu wa 2014/2015 🙂🙂🙂