Manchester United (Red Devils) | Special Thread

*Uvumi*

Robin Van Persie amekanusha taarifa za kuwa anahitajika kufanyiwa uparesheni ya goti ambayo itamfanya awe nje ya uwanja kwa mwaka mmoja na hivyo Van Persie hatofanyiwa oparesheni
yoyote ile kwa sasa.
 

Kwa hiyo Van Persie ndo hivyo tena? Nilidhani Blind kanunulia ili awe anamwagia mipasi ili awe anafunga magoli ya kupaa kama lile alilofunga world cup?

Halafu naona nae machale yamemcheza kadai haitaji kufanyiwa operesheni goti lake na haitaji time-off. Kasema he is looking forward to play with Falcao halafu hata kwenye lineup yako hayumo?

Kasema "Falcao must fight for his place, as I also have to. We must duke with Wayne Rooney and James Wilson to see who's playing." Can't wait to watch this fight.

Robin van Persie dismisses surgery talk and will fight for place with Radamel Falcao at Manchester United | Mail Online

Mourinho alitaka kumpa Rooney the greatest escape akadengua. Now atakuwa anacheza kama winger au Mata apigwe benchi.
 

well hope lucky is will be at on our side lol!!
 
Hahahahaa.

Zamani Man Utd kushinda ilikuwa guaranteed.

Lakini siku hizi ni ku-hope tuu things to be on their side.

And this is coming from Man Utd supporter.



Imekua bora ata ya Arsenal
 
Ha ha ha ha team yenye majina ya ajabu km vile Nani kagawa Urojo kwa Di maria.
 
huyo nae kiazii kweli cjui katokea wapi teeeena naona baada ya usajili wamenyamazaaa kabisa maana kulichafuka humu ndani hivi kwa nn man u hatupendwi hiviiii:wacko:

success....
 
success....


keliiii kabisaa bt tangia falcao na blind wafikee naona mbwembwe zimepungua kwenye hii thread afu wanaboa kinouma nouma unakuta limtu ka tahila vle linafika na kuanza kupost mapicha ya ajabu ajabu inakeraaaaaaaaaaaaaaaaa:A S-cry:
 
#CnP

Katika watu wanaoumia kuona Man
Inafanya vibaya ni Cristiano Ronaldo...
Huyu jamaa ipite mwaka asiizungumzie MaNUTD basi
atakuwa mgonjwa.

Hajafurahishwa na kuondoka
kwa DiMARIA na Alonso huku Timu yake ikiwa inaendelea kucheza -----.... Namuona kwambali
ndani ya miaka yake miwili ijayo Akirudi ManUTD kwa kauli zake zinavyoelekea na Hakuna kitu
ambacho Mashabiki wa Real Madrid
hawakipendi kutoka kwa #CR7 Kama anapoitaja #UTD na kuizungumzia .

Juzi kaichana MADRID kisa usajili wao na kuwaacha Dimaria na Alonso. #karibu nafasi bado ipo #CR7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…