Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Itabidi msubiri hadi dirisha la December/January ili kuongeza nguvu ya timu.


Itakuwa too late mkuu, amalize kila kitu sasa. Pia auze wachezaji mizigo, team inaonekana kubwa kumbe kimeo tu
 
Reactions: BAK

Tatizo watu wasiyoitakia mema Chama Kubwa Utd ndio mnadhani UTD Kuna matatizo

Ila Utd wenyewe wanajua nini kinaendelea
 
Mkuu DonDonald atakuwa amekupa pin kijuujuu na kakuvalia mawani ya mbao

Hahahaha acha kunigombanisha na baloteli wa timu ya kazini kwao

Tatizo lake hawashi PC mpaka aone Mk Dons wanaongeza 2 Utd bila

Ila kumbukumbu zangu zinaonyesha wewe unaziraga kuingia hapa na FB account una deactivate .. kumbe sio wewe tuu mpaka na Pazi pia

Ila sisi hata tufungwe na Mk Dons tupo tuu lol
 
Last edited by a moderator:
Tatizo watu wasiyoitakia mema Chama Kubwa Utd ndio mnadhani UTD Kuna matatizo

Ila Utd wenyewe wanajua nini kinaendelea
Ok nimekupata mkuu Kumbe matatizo hayapo ni ushindi tu ndio haupatikani kwa sasa sio? Sasa hayo ndio ya ku chambua tuwe tunasalimiana basi naona Leo na gonga mlango unanichunia nitaenda kutizama game zengine Baa basi!
 
hii timu ya ajabu sana,now inafungwa hata na timu za kata

Ndugu, Burnley sio timu ya kata. Kabla haijashuka daraja walitufunga 3-0 then tukawafunga 3-1 second leg.
 
.....:shetani::shetani::shetani:...RED DEVILS, sasa hiyo ni gombania goli au?
mnataka penalty ya magumashi sasa, FERGIE pekee ndiye aliyekuwa na haki-miliki nazo.


teh teh teh teh teh kumbe nimekosa mambo mpaka watu wanamkumbuka aliyekuwa na haki miliki na Penalt.
 
Dada unaniaibisha....mtimu gani huu unashabikia!???

Hahahaha. Ulitaka kila mtu ashabikie Liva? Mwaka wa 23 hawajui kombe la ligi linafananaje! Unachekesha
 
Wanapiga kelele wakati hatujachukua kombe msimu uliopita tu, wakati wao wana misimu 10

maskini arsenal mwaka wa 11 huu hawajachukua kombe fa lilichukuliwa na hullcity vile ??
 
Mi naamini the darkest hours are just before the dawn. Poleni, ila mambo yatakaa sawa, msihofu. Mimi bifu langu ni hivi vitimu vidogo vidogo vilivyoanza kushinda makombe jana leo vyajiona navyo ni wababe-Mancity (timu ya judas, madogo, na watu wazima walioanza kujua mpira leo) na CFC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…