Manchester United (Red Devils) | Special Thread

........Wikiendi hii ManU watatoka kimasomaso jamani, khaa?! Imetosha sasa.

Mpaka huruma yaani, hata Nzi na Belo wameumwaga! Si buree...!
 
Last edited by a moderator:
........Wikiendi hii ManU watatoka kimasomaso jamani, khaa?! Imetosha sasa.

Mpaka huruma yaani, hata Nzi na Belo wameumwaga! Si buree...!

Wakishinda tutakoma kuringa . Lakini hawana wala hakuna excuses za kutoshinda mechi ya kesho. Rooney au RVP mmoja wao ataondoka na Hat trick
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Nzi mara ya mwisho nilimuona mitaa ya kariakoo akiruka huku na kule kutafuta msosi, nilijaribu kumsalimia lakini akala kobisi nadhani bado ana usongo maana mara ya mwisho tulipoonana naye nilimpulizia X-pel jamaa hakupenda hata kidogo kwa kudai X-pel humletea mafua 🙂🙂

........Wikiendi hii ManU watatoka kimasomaso jamani, khaa?! Imetosha sasa.

Mpaka huruma yaani, hata Nzi na Belo wameumwaga! Si buree...!
 
Mhhhh!!!! Mbona wote mnakimbilia huku banaaa!!! Hebu njoo kule Gunners, huku utakuwa mnyonge tu kila wiki muulize BelindaJacob alikuwa anapita sana huku lakini siku hizi huingia kila baada ya miezi minne 🙂🙂


yaani BAK acha tu nibaki manake siwez kujikana mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Dada unaniaibisha....mtimu gani huu unashabikia!???

wee unaleta masihara msiban
sasa hivi mtu usiposhabikia MANU utashabikia timu gan sasa?

mie hawa ni wangu tukidondoka twadondoka sote, tukinyanyuka twanyuka sote hawa ndo mashetan wekundu
 
Blind ▪️▪️▪️▪️ 86% loading....

Tutatoboa tuu n all em hatters sjui habari yao itakuwaje pale MAY...

Najua wenzangu wengi hatujazoea hali hii ila msiogope nyumba yetu leo inavuja lakini zao za mabox mnajua kitakachofuatia.....

#GGMU
 
Manchester United have begun talks with Netherlands international defender Daley Blind after agreeing a fee with Ajax for his transfer, according to Sky sources.
 
Kuna dalili za mwanzo mwanzo kama huyu LV Girl atakuwa kama Moreno, basi wapenzi na washabiki wa MANU wanaweza kuanza kampeni kubwa ya kutaka SAF arudi ulingoni, mechi nyingine mbili/tatu zijazo zina umuhmu mkubwa sana kwa maisha LVGirl pale MANU.

Kesho dirisha linafungwa, kati ya vitu nitakavyolaumu ni kukosa kusajili holding mid wa uhakika
 

Inabidi turudishe heshima yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…