HENRY14 JF-Expert Member Joined May 13, 2021 Posts 3,723 Reaction score 7,293 57 minutes ago #210,301 Wazee wa comeback za kibabe naona mnaendeleza mwendo wa remontada mpaka mwisho.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,702 Reaction score 109,227 40 minutes ago #210,302 mkorea said: Huyu heaven ni jasusi wa arsenal aliekuja kuiangamiza nyumbu au ana ajenda yake binafsi? Click to expand... Mbona kijana mzuri tu, shida ya man u ni kubwa kuliko uwezo wa heaven.. pekee yake hawezi maliza shida ya man u, so far dogo ni mchezaji mzuri tu kwa umri wake na atazidi kuwa bora huko mbeleni akituliza kichwa.
mkorea said: Huyu heaven ni jasusi wa arsenal aliekuja kuiangamiza nyumbu au ana ajenda yake binafsi? Click to expand... Mbona kijana mzuri tu, shida ya man u ni kubwa kuliko uwezo wa heaven.. pekee yake hawezi maliza shida ya man u, so far dogo ni mchezaji mzuri tu kwa umri wake na atazidi kuwa bora huko mbeleni akituliza kichwa.