Acha mambo ya ajabu bhana timu yenye malengo inafunga magoli ya set piece tu. Ndio maana tuliwachakaza na hata EUFA pia mlipigwa na legue mlichukua tu kwa uzembe wa man city la sivyo mngeondoka patupu tu. Hivyo msijisifu sana mkadhani mmekamilika.Ni kweli ilichukua misimu mingi ila kulikuwa na nidhamu ya usajili pamoja na malengo yanayo onekana.
Je malengo yenu ni yapi msimu huu? Kushiriki au kushinda?
Man utd mna mashabiki vilaza sana km huyu..Mkuu wewe timi gani kwani maan msimu uliopita Carrick kawaparaza big six wote na kikosi kile na alichukua point nyingi kulikobkocha yoyoye EPL maana yake tungefukuza Amorim mapema huenda tungebeba ubingwa, mpira sio maneno ni data.
Kwa kofupi malengo yetu yalikuwa kuchukua ndoo ndiyo tukaibeba. Sijui unashabikia nini lakini mara ya mwisho kucheki goli ni goli hakuna nusu goli.Acha mambo ya ajabu bhana timu yenye malengo inafunga magoli ya set piece tu. Ndio maana tuliwachakaza na hata EUFA pia mlipigwa na legue mlichukua tu kwa uzembe wa man city la sivyo mngeondoka patupu tu. Hivyo msijisifu sana mkadhani mmekamilika.
Ana nafasi ya kujifunza na kuacha mihemko. Dunia nzima mashabiki wanalalamika hakuna sajili lakini yeye anaona poa .Man utd mna mashabiki vilaza sana km huyu..
Kwahiyo hesabu zako zinakwambia km Amorim angefukuzwa mapema mngechukua ubingwa au sio?
Serious kabisa? From your conscious!? 😂
Wanahitaji maombi ili wapate tajiri kijana mwenye akili , maono na njaa ya mafanikio.Fanyeni usajili wa kueleweka, sio inafika October mnaanza kuomba kocha afukuzwe
Tumia basi akili yako vizuri, toka Carrick achukue timu kuna kocha yeyote aliyemzidi point EPL? Sasa hiyo ishara yake nini?Man utd mna mashabiki vilaza sana km huyu..
Kwahiyo hesabu zako zinakwambia km Amorim angefukuzwa mapema mngechukua ubingwa au sio?
Serious kabisa? From your conscious!? 😂
So kwa akili yako unaamini angeanza msimu angechukua ubingwa, si ndio unachotaka kusema?Tumia basi akili yako vizuri, toka Carrick achukue timu kuna kocha yeyote aliyemzidi point EPL? Sasa hiyo ishara yake nini?
Ni kweli ameprove PL lakini shida ya baleba siyo kiwango, shida aina ya injury aliyonayo. Baleba anaweza asiwe na muendelezo wa fitness kwasababu ya majeraha, na hii itachangia sana kushusha kiwango chake. Mfano angalia De light na mazrawi, walikuwa na unjury record mbaya na kweli wamekuja utd tunaona kinachoendelea, siyo wachezaji wabaya ila hawatupi muendelezo wa mechi.Mashabiki wenzangu tuache lawama. Baleba ni premier league proven huwezi mfananisha na Kone. Wachezaji wengi kutoka Italy wamekuwa wakiflop premier mfano Damian, Zerzkee, Pogba, Hodjlund na wengine wengi.
Baleba ndoto yake ni kucheza utd na inawezekana hakucheza kwa moyo baada ya club yake kumbania kuja utd.
Yeah ni kweli, kuna mechi unatakiwa upumzishe baadhi ya watu muhimu kwaajili ya kuwatumia kwenye mechi muhimu. Mfano aseno kuna watu wakikosekana hata kwenye mechi za kawaida inakuwa shida. Gabrieli,saliba,rice,odegard, eze(hawa wakiwa nje aseno lazima atastrago kupata matokeo)Sikatai mafanikio ya msimu jana, na yasifanye upofu.
Kulikuwa na game ngapi kwa week ?Ilikuwa weekend mpaka weekend. Recovery time ilikuwepo. Msimu huu ni tofauti kaka.
kumbuka Msimu huu ni bandika bandua.
My point is ili kuchallange epl lazima uwe na squad depth mzee. Labda kama unataka draw za kutosha.
Mimi Gunners mkuu.
Uko sahihi ila hutacheza na Arsenal kila siku kaka?Yeah ni kweli, kuna mechi unatakiwa upumzishe baadhi ya watu muhimu kwaajili ya kuwatumia kwenye mechi muhimu. Mfano aseno kuna watu wakikosekana hata kwenye mechi za kawaida inakuwa shida. Gabrieli,saliba,rice,odegard, eze(hawa wakiwa nje aseno lazima atastrago kupata matokeo)
Manchester sasa hivi wana cunha(rashford),mbeumo(Sesko)Amad(Lacey), Bruno(Zirkzee), Shida ya manchester miaka yote CM,Dm now kuna Baleba(Santos), Tilemans(mainoo) kuna hawa akina fletcher wanaweza kucheza carabao.
Shida ya sasa man utd ni backs, Left back, LCB Martinez,Magure,De light hizi zote injury, wakati wanamtengeneza heaven watafute LB na LCB mmoja.
Aseno wametuzidi kwenye beki tu na attacking line yetu zile beki zinafunguka vizuri tu😂
Hivi Deogi Leon sio LB?Yeah ni kweli, kuna mechi unatakiwa upumzishe baadhi ya watu muhimu kwaajili ya kuwatumia kwenye mechi muhimu. Mfano aseno kuna watu wakikosekana hata kwenye mechi za kawaida inakuwa shida. Gabrieli,saliba,rice,odegard, eze(hawa wakiwa nje aseno lazima atastrago kupata matokeo)
Manchester sasa hivi wana cunha(rashford),mbeumo(Sesko)Amad(Lacey), Bruno(Zirkzee), Shida ya manchester miaka yote CM,Dm now kuna Baleba(Santos), Tilemans(mainoo) kuna hawa akina fletcher wanaweza kucheza carabao.
Shida ya sasa man utd ni backs, Left back, LCB Martinez,Magure,De light hizi zote injury, wakati wanamtengeneza heaven watafute LB na LCB mmoja.
Aseno wametuzidi kwenye beki tu na attacking line yetu zile beki zinafunguka vizuri tu😂