King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Nlitoa sababu za kufukuzwa amorim nikaambiwa sijui mpira ππππ na Bado. ..Kiko wapi sasa, niliposema kufukuzwa kwa amorim yalikua makosa makubwa ndio hivi sasa. itapendeza vipigo viendelee hivi hivi, tena mancity ajipigie hata 7 pale old Trafford. Ety kocha fletcher,ole na Carrick time will tell. Glazers na Ratcliffe ni wamiliki wapuuzi wanaongozwa na hisia bila kutumia akili.
Ingependeza kama ungewa tag waliokwambia hujui mpira ili wakuelezee wamiliki na puppet wao fletcher anaipeleka wapi timu kabla ole na Carrick hawajarudi πππNlitoa sababu za kufukuzwa amorim nikaambiwa sijui mpira ππππ na Bado. ..
Ingependeza kama ungewa tag waliokwambia hujui mpira ili wakuelezee wamiliki na puppet wao fletcher anaipeleka wapi timu kabla ole na Carrick hawajarudi πππ
Mkuu ninawajua mashabiki wa kweli wanaozipenda timu zao tena sio kwa kuwangalia tu hata kupitia michanga yao. Lakini pia nawajua mashabiki wa mpira ambao ni very idiot. Hivyo watu wa hivi usiwe unajiangaisha nao.View attachment 3528811
Mkuu na Hawa sijui watawaambia hawajui mpira ..Hawa ni mashabiki wa huko wanaongea..anachokisema ndio nmekisema juzi kati
Sawa mwenye akili ya kumpa timu Fletcher. Halafu usifananishe Newcastle hii na upumbavu. Umeisema timu Bora Newcastle eti unaiuliza Iko wapi ...mbona huisemi na kuulizia Manchester city ..au na wao wnaaburuza mkia ? Haya wenye akili pangeni timu ya kucheza mechi ijayo na Manchester city ...Kuna kipindi pale Arsenal tulikua tunataka Stan Kroenke aachie timu agewe mtu mwingine. Miongoni mwa watu walioitaka Arsenal alikua Dangote na mmiliki wa Spotify.
Kroenke akagoma kuuza. Dangote akarudi kukomaa na viwanda vyake na jamaa wa Spotify akaenda kupambana kuimiliki Barcelona.
Kipindi hicho ilikua Arsenal tunaweza kosa mchezaji kwakua anauzwa 45M au 50M. Arteta ilibidi afanye kazi na aliowakuta, wakina Mustafi, Guendouzi, Ceballos na Odegaard kwa mkopo, Sokratis, Bellerin aliyetoka majeruhi, Xhaka asiyejiamini, Cech n.k.
Kroenke akawa anagoma kutumia pesa akidai kwamba anataka timu ijiendeshe, itumie inachozalisha. Mashabiki tukaona anaongea upuuzi kwakua katika timu yake nyingine anayoimiliki ilikua haijiendeshi kwa mode hii. Kwanini akomae Arsenal tu ndiyo ijiendeshe hivyo?
Mashabiki wakaanza riots.
Tuje kwa United, wana wamiliki ambao ikatokea mchezaji anaongozwa na pesa na siyo ile kutaka kucheza timu fulani pesa hua inatoka. Kwa uzoefu wangu na observation mchezaji ambaye alifocus na pesa aliletwa United bila shida, Pogba, Martial, Fernandes, Amad, Mbeumo, Cunha, Sesko, Dorgu, Onana, Ugarte, Casemiro, Mazraoui, De Ligt, Sancho, Yoro, Heaven, Martinez, Malacia, Van De Beek, Antony, Chido n.k.
Hao ni wachezaji ambao kocha alipoint na wakaletwa. Ronaldo alirudi siyo kwa mapenzi ya kocha ila alirudi baada ya mashabiki wenyewe kuentertain hilo swala online.
Mtu anasema bora aje mmiliki mwarabu, ndiyo atafanya nini cha tofauti kwa anachotakiwa kufanya mmiliki? Kwani Newcastle mnajua inamilikiwa na nani? Wanaspend kama wapumbavu ila wako wapi? Mnahisi mmiliki atasababisha timu ikabe? Atasababisha wachezaji wageane pasi kwa wakati?
Chelsea walimleta Tuchel na alipofika tu alisema anachotaka. Akacheza back three akaondoka na CL, akiwa na wachezaji ambao Lampard alisema hawa na ubingwa ni maji na mafuta.
Amorim amefika United anacheza back three, mtu wa Hayloto Mbulu anasema huyu kocha hajui kitu back three bila wachezaji wa kufit mfumo itakutesa. Na yeye akapita na hilo gap. Kwakua it doesn't matter mchezaji kama una LB huyo ni LWB una RB huyo ni RWB so huwezi sema huna wachezaji wa kufit mfumo.
Mashabiki wa United hawajui mpira, hayo ni maneno ya Pogba, unashuhudia hayo kwa wanavyomhukumu kocha na wamiliki. Peronally kocha mtengeneza nidhamu namhofia kwakua once ukicheza na timu ipo disciplined wewe kuondoka na matokeo haiwezi kua easy.
Na Amorim alikua anafanya hili kwa bidii, sasa kwakua hamjui mpira mnahisi shida ni Amorim, kaondoka. Shida ni mmiliki? How? Mnasema kocha hapewi full authority? Ipi? Ronaldo aliwekwa benchi na kocha hakuhojiwa, a club legend. Bench. Na kocha hakuhojiwa.
Kocha analilia wachezaji aliowatumia Uholanzi, kaletewa. Kisha hawatumii na hajaulizwa. Unanunua starters wa Bayern, PSG na Atalanta na hauwatumii na haulizwi. Wewe mkazi wa Kinyanambo C unataka mmiliki afanye nini sasa?
Umelilia Amorim afukuzwe ili ucheze back four kafukuzwa umecheza back four na umenyooshwa unataka mmiliki aondoke. Kwa ishu ipi sasa?
Safari bado ndefu hadi mjue mlimhitaji Amorim na mlitakiwa mumpe muda awanyooshe hao viazi ambao kaka zao hawaamini kua wanatakiwa kukaa bench wajue kupambana.
Ndugu yangu, ze dudu, anakuambia anaona nafasi pale juu. Kimahesabu Wolves pia anaweza kumaliza ndani ya top four. Arsenal tulihitaji ushindi dhidi ya Brighton ili kuingia international games tukasuluhu. Hatukwenda.
Tulihitaji points 3 kwenye mechi zaidi ya nne ili kwenda CL au Europa na hatukwenda. So mahesabu yasikutie majaribuni ukajipa matarajio makubwa.
Muwe mnatumia akili
Timu ya familia au sio πHuyu ndio mwenyewe sasa kwanza lazima wanae wapate namba πππ
Si umeona ulivyokua miyeyusho umeshindwa kuelewa kwamba point ni kocha siyo mmiliki.Sawa mwenye akili ya kumpa timu Fletcher. Halafu usifananishe Newcastle hii na upumbavu. Umeisema timu Bora Newcastle eti unaiuliza Iko wapi ...mbona huisemi na kuulizia Manchester city ..au na wao wnaaburuza mkia ? Haya wenye akili pangeni timu ya kucheza mechi ijayo na Manchester city ...
Yote kwa yote Amorim alikua ni tapeli πKuna kipindi pale Arsenal tulikua tunataka Stan Kroenke aachie timu agewe mtu mwingine. Miongoni mwa watu walioitaka Arsenal alikua Dangote na mmiliki wa Spotify.