Kazi kubwa .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpira unafundishwa Colney wengine wana copy and paste tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
duuu hii sasa mbona majanga sana maana kuna wakongwa wawili tunaweza tusiwaone mwakani kwenye uefa na kuna 1 hapa anaweza asionekane tenaa akawa anaisikua uefa bombani??
maana liver karudi kwenye nafasi yake.
sasa hapo naniatakubali kubakia milele
Mwaka huu wa ajabu Manchester Utd na Arsenal wote wanaweza kukutana Europa League baada ya miaka zaidi ya kumi kuwepo Champions League. Tusubiri tuone.
you dont sound like Nzi i know always unakuwa na hope na man mpk dk ya tisini na hata pasipokuwa na hope wewe huwa na hope na kuwaencourage wenzako, what happened to you mpk uvumilivu ukushinde mkuu,moyes yule yule na vijana ni walewale!
MKUU ngoja kuna dawa 1 nikupatie sijui nitakupataje niya mitishamba inaitwa king'ang'anizi hiyo ukitumia mbona uvumilivu MILELE hauta kuisha utaweza kuvumilia hata visivyo vumilika..
ukukipenda kitu unakiganda kama sumaku au kama umegundikwa na gundi.