Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Namna mashabiki wa man u tunavyoangalia mpira
 

Attachments

  • IMG-20250915-WA0138.jpg
    58.9 KB · Views: 16
Tafute Mmoja wa hao mabeki miamba awafundishe kazi kina de light na maguire
 

Attachments

  • IMG-20250907-WA0132.jpg
    39.9 KB · Views: 13
Kocha bado sub zake zinatuangusha ila nadhani ni sababu ya aina ya kikosi bado ni chembamba.
 
Ile nafasi aliyokosa Sesko Mimi binafsi tayari nilikuwa nishaamka kwenye kochi naruka ruka daah mara kakosa aisee, pale unabaki kusema Tu angekuwa Fulani pale kamba kabisa. Uharaka wa kufanya maamuzi ndio unamuumiza Sesko, very slow kabisa, bado anacheza as if Yuko Bundesliga ambapo unaweza kukimbia na mpira bila kuguswa, EPL intensity iko juu kidogo, halafu pace ni ya maana Sana sasa naona kijana bado Sana, huyu ukimpa presha utampoteza.

Hii mechi tulikosa quality kidogo za kuua, yaani gapes walizokuwa wanaacha Spurs ulikuwa unaziona kabisa, some moments unaona kabisa tukitoka kwenda kwao wako disorganized so badly basi ilihitaji ubora kidogo sema hatukuwa nao kwenye zile nafasi, Ugarte alikuwa anakimbia kimbia Tu kwenye pitch, Ugarte ana nini huyu?, alikuwa bonge la mchezaji Sporting!....Pale tupate Kati ya Anderson na Baleba.
 
Sad. Lakini kocha anajitahidi sana na kinachotuua ni quality za wachezaji.
Aje Baleba, na dirisha kubwa aje Anderson, striker pia tusajili na LWB.
Kiufupi dirisha dogo tusajili wachezaji wawili.

Kocha namuelewa.
 
Timu ipo bado mambo madogo sana tuwanie ubingwa
Labda msimu ujao....tupate mbadala au waongeze viwango kina dalot, casemiro, sesko, dorgu...yaani LWB, CF, DM.
kufika 2028 tutakuwa na timu bora england na ulaya
 
Labda msimu ujao....tupate mbadala au waongeze viwango kina dalot, casemiro, sesko, dorgu...yaani LWB, CF, DM.
kufika 2028 tutakuwa na timu bora england na ulaya
Wataongezwa tu mdau kuna kiama kinakuja hapo na aseno asipobeba ubingwa msimu asahau kubeba tena milele
 
Everton ana kesi ya kujibu hapo jumatatu ingawa najua ataleta upinzani wa hali ya juu
 
Wakuu mbona kama njia nyeupeeeee


Au nimeiona mimi tu peke yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…