Siyo makombe, ni individual performances. Bruno si-force kumuingiza kwenye list, namba zipo, kwenye misimu 9 kuanzia Sporting Bruno ana uhakika wa 15 G/A kwenye ligi tu na kuna misimu aliyofanya vizuri zaidi:
2018/19: 33 games, 33 G/A
2020/21: 37 games, 30 G/A
Silva, Bernardo? Kama ni huyo anafanya vizuri lakini kwenye G/A hakuna consistency.