heheheeh! aisee! hivi inakueje man u iwe failure kiasi hichi wakati moyes ana kila kiiiitu alichokua nacho fergi! Its very amazing that 1 man can bring so much influence without being in the pitch!! Wote wanaotamani mafanikio ya juu maishani wana umuhimu sana wa kusoma hii kitu. Hilo darasa la sir alex huko havard ni la kuhudhuria aisee!! Ferguson ni noma!
Hawa Man U wamefanya kosa kufunga lile goli kuwakasilisha... "Never Poke the Bear" , ona sasa wamekasirika, tena hapa washukuru Mungu muda umepakia kidogo ama sivyo ingekuwa Hamsa.....
Hivi Man U hawana mbadala wa Vidic?huyu jamaa anaua timu leo!haya si magoli ya kufungwa at this level,hata Nadir Haroub angeyazuia kwa ile mikasi yake jamani!