Kenge wameonja uwezo wa Sancho wamerudi kuwaomba Garnacho na nyinyi mpo tayari kuwauzia.
Timu kubwa kama Atletico na Napoli na zenyewe zinamtaka dogo ila nyinyi mnaona dogo hafai. Kwa umri wake hizo near miss ni sawa hata haina haja ya kujifanya hamuwezi kuvumilia na kumkuza hamuwezi.
Ile mechi ya juzi dhidi ya Fulham ilinitafakarisha sana.
Wale wachezaji wetu kuna shida mahala sio bure.
Utadhani wametoka academy leo leo!
Ngoja tu fight relegation tu halafu tuanze upya msimu ujao.
Jana Maino kachezeshwa namba 10, kocha anasema atamjaribu maino kama namba 10 kwasababu ni mzuri technical, anadai akicheza kiungo uwa anapata shida sana difensively