Manchester United (Red Devils) | Special Thread

huu utani sasa, aje kocha gani mkuu mgunda? sema bora mgunda nchi itapata pesa za kigeni kwenye kodi
Kocha mwenye uzoefu mkubwa na timu kubwa sio makocha wanaochipukia kwenye ligi za kawaida.
 
Reactions: Lax
Mnamaliza mwaka kwa kipigo kizito, mnafungua mwaka kwa kipigo kizito zaidi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…