Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,006
- 51,512
Si zirkezee style of playing hafit man u, ila si mvivuZIRKZEE sio muingereza, lakini ni mjinga kweli kweli.
Yaani tuliondoa mvivu MARTIAL tumeleta tena mvivu ZIRKZEE.
Si zirkezee style of playing hafit man u, ila si mvivuZIRKZEE sio muingereza, lakini ni mjinga kweli kweli.
Yaani tuliondoa mvivu MARTIAL tumeleta tena mvivu ZIRKZEE.
Ni Berbatov styleSi zirkezee style of playing hafit man u, ila si mvivu
Huyo alikuwa kwenye level yake control za hatariNi Berbatov style
Hata Mainoo naye sijui amekuwaje!Hii timu itafute wachezaji wapya kabisa, hamna timu hapa. Wachezaji waoga wote, hadi Amad ameanza kuingiwa hofu.
Huyu leo naoma ndio katepeta kabisaaaaa. Kila challenge yule beki ana win.Hii timu itafute wachezaji wapya kabisa, hamna timu hapa. Wachezaji waoga wote, hadi Amad ameanza kuingiwa hofu.
Huyu mchezaji wakucheza pambasio man utdHata Mainoo naye sijui amekuwaje!
🤣🤣🤣🤣🤣Kosa kubwa lililofanyika na huenda litatugharimu hata miaka 10 mbele ni mkumnyima mwarabu hii timu.