Designer wa statements hizo yupo vizuri. Ambacho hatujui ni kama biashara ya kuajiri makocha itaishia hapa au itaendelea. Maana shida nyingine kubwa ipo kwa wachezaji. Wanafanya kama migomo hivi. Amorim aondoe wote, aache akina Amad tu.

R.R aliwaambia wawaaondoe wote kosa la ten hag ni kumbakisha Rushford,dalot,Bruno.
Unaona Bruno alivuyojisababishia red card? Still anampanga kila game. Alipashwa kuwatumia graduate akiwa ana buy time ununuawegine.
Alifanikiwa kumuondoa Ronaldo, na wengine kosa lake alijiaminisha sana kuwa hatafukuzwa. Hakuutumia uhuru wa kuimaamuzi.....angewaambia tu Rushford hayupo ktk mipango, Bruno alimng'ang'ania sana.
Uongozi wa united ulifanya haraka sana kumleta kocha mpya nadhani wangempa nafasi Ruud ya kuonesha alichonacho maana ni mtu anaechukua hatua kwa wachezaji ambao wanaigharimu team
Kwa ubora wa huyu AMAD aka MESSI, ni dhahiri sasa RASHFORD na GARNACHO watakuwa wanapokezana kucheza na ANTHONY akae tu nje asubiri kati yao kupata majeruhi/kadi ndio acheze.
Kwa ubora wa huyu AMAD aka MESSI, ni dhahiri sasa RASHFORD na GARNACHO watakuwa wanapokezana kucheza na ANTHONY akae tu nje asubiri kati yao kupata majeruhi/kadi ndio acheze.