Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Natamani kesho kumuona mwana wa nyumbani akikanyaga nyasi za "The Theatre of Dreams" angalau kwa dk kadhaa tu.

Mbwana Samatta, shabiki lialia wa Manchester United kesho atakuwepo matofali ya kuchoma.
Finished
 
Rashford na garnacho wanapokezana kutuchaganya, yaan akipona huyu mwenzake anapokea.
Lakini tutafika.
Na usajili mzuri inakuja.
Rashford, Garnacho na Bruno wanapaswa kuwa wachezaji wa akiba ndio wanaokwamisha project ya timu na kama huyu kocha anayekuja akiwaintertain na yeye ataonekana kama Gamondi tu na watamfukuzisha.
 
Ten hag hakuwa Mwl mbaya tatizo wachezaji waliamua kamgomo baridi.Hii shida imekuwepo kipindi kirefu sana hasa kwa wachezaji seniors.
 
Ten hag hakuwa Mwl mbaya tatizo wachezaji waliamua kamgomo baridi.Hii shida imekuwepo kipindi kirefu sana hasa kwa wachezaji seniors.
Huo mgomo kwa makocha zaidi ya 3 kwann hao wachezaji hawa ondolewi
 
Designer wa statements hizo yupo vizuri. Ambacho hatujui ni kama biashara ya kuajiri makocha itaishia hapa au itaendelea. Maana shida nyingine kubwa ipo kwa wachezaji. Wanafanya kama migomo hivi. Amorim aondoe wote, aache akina Amad tu.
R.R aliwaambia wawaaondoe wote kosa la ten hag ni kumbakisha Rushford,dalot,Bruno.

Unaona Bruno alivuyojisababishia red card? Still anampanga kila game. Alipashwa kuwatumia graduate akiwa ana buy time ununuawegine.

Alifanikiwa kumuondoa Ronaldo, na wengine kosa lake alijiaminisha sana kuwa hatafukuzwa. Hakuutumia uhuru wa kuimaamuzi.....angewaambia tu Rushford hayupo ktk mipango, Bruno alimng'ang'ania sana.
 
Uongozi wa united ulifanya haraka sana kumleta kocha mpya nadhani wangempa nafasi Ruud ya kuonesha alichonacho maana ni mtu anaechukua hatua kwa wachezaji ambao wanaigharimu team

Leo Garnacho kala mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…