Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PSG have held direct talks with #mufc regarding Jadon Sancho. Talks advanced to the stage of discussing the financials of a potential deal.
 
πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±Haki ya mama Siamini macho yangu kuwa leo tupo tena na wale vijana wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys mpaka machozi yamenitoka.☹️

Manchester united inacheza leo na na dunia nzima ina furaha😁😁😁😁

My prediction

Man city 1 VS Manchester united 3

Venue
Wembley

Watapigwa sana ile kichapo ya nguvu.
 
Unabubujikwa machozi ya furaha😁
 
Yamesha ongezewa mikataba hayana wasiwasi ni kuvuna mapesa tu
SHAW - mkataba wake unaishia 2028 kama nipo sahihi
MAGUIRE
Watu wanatetea ugali πŸ˜… maana siyo kwa mikataba ile. De Gea kutoka €23m kwa mwaka mpaka €3m.

Hivi vijamaa vinakwepa kuuzwa ila msimu huu ndiyo mwisho, United wakubali hasara tu asiongezewe mtu mkataba.
LUKE SHAW - mkataba wake unaishia mwaka 2028, huyu unamuondoaje kirahisi.
CASEMIRO - mkataba wake unaishia mwaka 2027, unamuondoaje kirahisi
MAGUIRE - mkataba wake unaishia mwaka 2026, naye unamuondoaje kirahisi
 
Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya,nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload.
 

Sema Hapa UEFA Sheria zinaweza kuwa zimeisaidia UTD, Todibo ni CB Mzuri lakini sio kwa Hype Mashabiki wengi walikuwa wanampa!
Jamaa anapenda Ingia Fully kama Licha, Partnership ya Licha na Todibo Ingekuwa Changamoto Ku-Balance,

UTD Ilikuwa imeskauti sana Scalvini nadhani kupata ACL ndo kumefanya wasishughulike naye. Licha ni Best CB aliye UTD Kwa sasa kutafutia Mbadala inabidi mtu anayecheza tofauti kabisa na Yeye.
 
πŸš¨ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Manchester United agree deal with Bayern Munich for Matthijs de Ligt. €45+5m(Β£39m+Β£4m), 5+1yr, pending medical

Bayern have separately accepted a proposal of €15m+€5m(Β£13m+Β£4m) in bonuses from Manchester United for Noussair Mazraoui.

[David Ornstein]
 


Moja ya Sajili Bora sana na Msaada kwa YORO na Sajili nzuri na Bei Fair kwa UTD!
De ligt kwa Miaka 24 aliyo nayo tayari ni Mzoefu wa Kutosha. Timu sasa ina kikosi Kipana kwa baadhi ya Nafasi.

Dirisha lijalo waelekeze Macho kwa Jarrad Branthwaite na Adam Wharton kuongeza wazawa na Ubora Pia.
 
Siyo kweli
 
Shaw 2027
Casemiro 2026 (opt. 1 yr)
Maguire 2025 (opt. 1 yr)
 
Download, then install.

Nimejaribu na imekubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…