Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 303
- 469
π π
Nguvu ya kuwananga leo hatuna kabisa...sawa mmetoa lakini kwa Mbinde sana....hamjaitoa kirahisi kabisa.... Forgotten na genge lako la kina Flano nawapongeza sana kwa mpira mzuri....mngetimia leo full squad mlikuwa mnatufunga kabisa yaani
Yupo sahihi, lakini swali la kujiuliza ni lini huyo bwana Merson aliwahi kuizungumzia manchester united kwa jambo zuri.Paul Merson on Unitedβs strugglesβ¦
Kipara hatadhibitiwa kamwe sababu ya nguvu za pesa, FA ilishindwa kumdhibiti tuhuma za makosa 115 ya FFP sembuse kutwaa EPL mara 4 mfululizo? Hauko makini kabisa NduguKilichobaki ni Spurs kuwapa tu kombe lenu. Kipara inabidi adhibitiwe kulinda heshima ya mzee wetu Ferguson.
mimba hutungwa na Bao moja tu yaani mkojo mmoja tu,huhitaji kukojoa mikojo miiiiingi ili mimba iingie.Mnajiridhisha eti kikosi chenu dhaifu hivyo mlipaswa kufungwa nyingi,hakika manyumbu ni wa ajabu sana,niwakumbushe tu kwambamimba hutungwa na Bao moja tu yaani mkojo mmoja tu,huhitaji kukojoa mikojo miiiiingi ili mimba iingie.
Nyumbu ni Nyumbu tu,akili zenu zipo makalioni
Aonge kwa jambo zuri ikiwa kuna jambo zuri lipi aliloona?Yupo sahihi, lakini swali la kujiuliza ni lini huyo bwana Merson aliwahi kuizungumzia manchester united kwa jambo zuri.
Tunawaletea nacho sasaππ