Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ngoja tuone moyes atakuja na sub gani. labda amuongeze fletcher hapo badala ya giggs.
 
kagwaaaaa hapa safi pia.tunashinda hii..
 
Moyes showing balls and going for it by bringing on Kagawa. Good on you Moyes!
 
.......hodiiii hoddiiiii

hamjambo humu? sijachelewa ee?
haya haya hayaaaa...

Man U game ya leo imewakubali sana Belo, Nzi, ...mna kila sababu ya kushinda!...

haya hayaa haaayaaaaa.....!!!
 
Last edited by a moderator:
Uwa siwapendi Man lkn nawachukia zaidi Bayern so wakishinda hawa mabwege ntalala bila njozi njema.
 
.......hodiiii hoddiiiii

hamjambo humu? sijachelewa ee?
haya haya hayaaaa...

Man U game ya leo imewakubali sana Belo, Nzi, ...mna kila sababu ya kushinda!...

haya hayaa haaayaaaaa.....!!!

Tupo tupo...
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli leo OT ni noma...washabiki wako lively kinoma....
 
Hadi sasa sielewi kwanini uwa hatuchezi hivi kwenye ligi!! Dah!

Kona hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…