Manjeta hatutaki kombe mkuu, sisi ni kutoa kichapo tu😅Mtuachie aisee huu mwaka.
MNASTAHILI🫡Mtuachie aisee huu mwaka.
Braza sisi hatutaki kitu braza🤗Mpira ulivyo wa ajabu utakuta hawa man u wapo nafasi ya pili nao wanataka ubingwa...treni yao moto wa makaa ya mawe..
Sisi hatuna habari na kombe mkuu ,mshindwe tuAta kwa uchawi huu mwaka uhakika
Sisi ndio furaha yetu bwashee 😁Mancity afe tu hiyo kesho
Wewe ng'ombe kweli , unasemaje eti?Ubingwa wa Manchester ni kuwafunga Arsenal tu. Kwa hiyo wao wameshachukua ubingwa wao.