Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

Tecno hata unipe bule naweza nsichukue au nkaenda mgawia beki tatu.ila hongera yao pia
 
Tecno sio simu feki. kinachozuiwa Ulaya ni products feki. Tecno ni low grade smartphone kama itel na nyinginezo. Kwa hiyo kuingia mkataba na manchester united ni fursa ya kujitangaza ili kuweza kupenya masoko ya ulaya.
Wakiendelea kuboresha simu zao zaidi na zaidi baadaye wanaweza kutoa ushindani kwa wakongwe kama Samsung, Apple, htc na wengine.
Kila products zina high grade na low grade,mfano Home theatre systems za high grade toka sony au jvc huwezi kulinganisha na rising au kodtec.
 
mkuu hata azam wana mkataba na manchester united na liverpool ila hawaonyeshi hata mechi moja ya epl/uefa (ukitoa 3rd party tv)

hata waingie mkataba na trump haibadilishi maana wanatumia soc za mediatek, camera mbovu, ram zilizo slow, simu zisizidumu nk.

technology huzungumzwa na fact na sio PR za marketing
 
Naona sasa TeamTecno mtaweza kutembea vifua mbele na simu zenu bila kuficha Logo na ma sticker tofauti tofauti... Baada ya miaka 7 au 10 hivi waki invest vizuri wanaweza karibia kina Apple, Samsung, Huawei, ZTE, HTC, Sony, One Plus n.k
 

Katika ubora wako Mkuu,
Well said, hasa hiyo sentesi ya mwisho..
 
Tecno wanajitahd aisee leo nimeona matangazo yake cnn
 
Natumia TECNO ntaipenda zaid imenisaidia mambo mengi kimtandaooo,, ntazd kubadlisha kwendana na toleo jipya,, nichohamin,, Samsung ya mwaka 2010 haifanani na toleo la 2015 "" "
 
Mambo ya wajuaji wa jf. Sisi wengine huwa tunapita tu kwenye mada za kufikirika. Natumia Techno sina matatizo nayo
Siku akiacha kutumia tecno ndio utajua kawa ulikuwa unateseka. Ntatumia tecno siku nikiwa sina uwezo wa kumiliki aina nyengine ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…