Leonel Messi kukataa mkataba mpya kutokana na club kuendeshwa kienyeji. Ataka kwenda Barcelona au Manchester

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,386
Mchezaji bora wa dunia muda wote na mshindi wa kombe la Dunia mwaka jana Leo Messi anasemwa kukataa mkataba mpya aliopewa hadi 2025 na nyongeza ya mwaka mmoja hadi 2026.

Watu wake wa karibu wanasema Messi hajawahi kufurahia maisha akiwa na timu ya PSG kutokana na kuendeshwa kienyeji.

Timu nyingi za ulaya zinataka huduma ya Leo Messi ila mwenyewe amechagua kurudi Barcelona au kwenda Manchester.

Vilabu vya EPL kama Chelsea, Manchester United na City na Liverpool vyote vinachezwa mate huku wababe wa Bundasliga wakifika macho.

Ila messi amekasirishwa kuhusishwa na kujiunga na Real Madrid.

Je, ungependa Leo Messi aende wapi majira ya joto?

Mimi nashauri arudi Barcelona akabebe UEFA mmoja aondoke USA.
 
Kila siku nasisitiza kuwa huna akili na kukushauri uachane na tabia ya kushinda vijiwe vya kahawa badala yake utenge muda angalau wa kusoma vitabu vyenye maarifa ili kurekebisha bongo yako, sasa ona uzi jinsi ulivyoandika pumba na kuchanganya madesa..
 
Huyu mtu hata akinambia mm sio mtz ntamuamini
He is my millard ayo wa mbele
Screenshot_20230124-204727_Facebook.jpg
 
Mchezaji bora wa dunia muda wote na mshindi wa kombe la Dunia mwaka jana Leo Messi anasemwa kukataa mkataba mpya aliopewa hadi 2025 na nyongeza ya mwaka mmoja hadi 2026.

Watu wake wa karibu wanasema Messi hajawahi kufurahia maisha akiwa na timu ya PSG kutokana na kuendeshwa kienyeji.

Timu nyingi za ulaya zinataka huduma ya Leo Messi ila mwenyewe amechagua kurudi Barcelona au kwenda Manchester.

Vilabu vya EPL kama Chelsea, Manchester United na City na Liverpool vyote vinachezwa mate huku wababe wa Bundasliga wakifika macho.

Ila messi amekasirishwa kuhusishwa na kujiunga na Real Madrid.

Je, ungependa Leo Messi aende wapi majira ya joto?

Mimi nashauri arudi Barcelona akabebe UEFA mmoja aondoke USA.
Acha uongo
 
Aende tu United akawaonyeshe kile alichoshindwa CR7
Mfumo utamkataa. Epl ligi ngumu alafu man u anacheza counter na pressing wakati messi umri ushaenda uko psg kwenyewe kila siku anatulizwa na watoto wadogo tu hata world cup argentina alikua na spirit ya timu pamoja na bahati tu ya kupata penati ila messi individually hakucheza mpira wowote wa kutishia amani.
 
Wewe ukiitwa mwehu utakataa?

Umeanza lini kufuatilia mpira? Umemcheki vizuri kombe la dunia? Au ulikua unasikiliza redioni!

Epl kama ni ligi ngumu iweje wakina aguero, van persie, rooney, henry, crespo, Beckham, franco zola waliweza! Kwa messi mchezaji bora wa dunia ashindwe! Au umezaliwa miaka ya 2000 huwajui niliowataja!!
 
Hao uliowataja wamecheza katika umri wa maika 35+?
 
Back
Top Bottom