Manchester City Vs Chelsea: Time and live stream links

Weraaaa weraaaaaaa chama kubwaaaa Chelsea FC!!!!!!!!!!!!
yuku wapi yule mburula aliyesema kesho atatembea uchi kama Chelsea ikishinda leo? Mods tunaomba mumpige ban ya mwaka mzima asipo timiza ahadi yake ya kimburula mburula!
 
Naona Ntuzu na Agosti 8 mmekaza lakini bado tupo na kunguru kumnyea mtu sio shabaa ni bahati mbaya tuu!
anyway nawapa hongera pia!

Asante sn ila jiandae vizuri mechi ya FA tarehe 15 nakuja tena Etihad! Na ninafikiri safari hii hutokua na maneno mengi!
 
wakuu wenzangu wa Chelsea jitahidini kupita kwenye jukwaa letu pale Chelsea fc thread tuchangamshe jukwaa; au vipi?
Weraaaa weraaaaaaa chama kubwaaaa Chelsea FC!!!!!!!!!!!!
yuku wapi yule mburula aliyesema kesho atatembea uchi kama Chelsea ikishinda leo? Mods tunaomba mumpige ban ya mwaka mzima asipo timiza ahadi yake ya kimburula mburula!
 
1601162_422513981212271_551236760_n.jpg
 
Asante sn ila jiandae vizuri mechi ya FA tarehe 15 nakuja tena Etihad! Na ninafikiri safari hii hutokua na maneno mengi!
ila sio kila siku ijumaa broo lets wait and see hata ratiba haiko poa ila si kgezo cha kushindwa!

sisi tuko fit mda wote! this time hata sisi tutaloga kama cocha wenu hivi anatoka nchi gani tena?na yenyewe imo kumbe?
 
halafu ulivyoongea utadhani unakuja tu kuuchukua kama vile ulituachia tukuhifadhie!
we ngoja ifike tuone kama mtauchua kiulaini na tutaweka dharau pembeni hatutatumia fimbo maana mnataka kujifanya na nyie ni wakubwa wenzetu, so ni ngumi tuuu na taikondo mixa shaooling!
 
Mkuu Mimi siongei sn na pia nakushauri na wewe Usiongee sn! Na kwa mujibu Wa ratiba ilivyo na Kikosi chako kilovyo Lazima sasa hivi kwa game kubwa muwe mnachechemea! Hamuwezi kwenda Km nyuki hovyo tu! Lazima mtembee na MAWAZO ya kupigwa!
 
halafu ulivyoongea utadhani unakuja tu kuuchukua kama vile ulituachia tukuhifadhie!
we ngoja ifike tuone kama mtauchua kiulaini na tutaweka dharau pembeni hatutatumia fimbo maana mnataka kujifanya na nyie ni wakubwa wenzetu, so ni ngumi tuuu na taikondo mixa shaooling!

Ata Jana nilikua naongea hivihivi! Tena tangu ulivyofungua huu Uzi wako Mimi nilikua naongea hivihivi!

Labda wewe ndo umeanza kukua ndi maana jana tukakushughulikia ipasavyo!
 
Back
Top Bottom