haya nasubiri uje uchukue............Ata Jana nilikua naongea hivihivi! Tena tangu ulivyofungua huu Uzi wako Mimi nilikua naongea hivihivi!
Labda wewe ndo umeanza kukua ndi maana jana tukakushughulikia ipasavyo!
Acha kufuga mbwa kwa kutegemea matapishi ya mlevi!!!!!!!!!!!Mkuu Mimi siongei sn na pia nakushauri na wewe Usiongee sn! Na kwa mujibu Wa ratiba ilivyo na Kikosi chako kilovyo Lazima sasa hivi kwa game kubwa muwe mnachechemea! Hamuwezi kwenda Km nyuki hovyo tu! Lazima mtembee na MAWAZO ya kupigwa!
Man City hatuaibiki kilaini hivyo wewe mwenyewe unajua! its jus tu jana tuliweka madharau kidogo kwamba lazima tushinde plus majeruhi wakati chelsea hawakua na majeruhi! kwa hiyo msijigambe sana!
cc; mwekundu na Ntuzu
Acha kufuga mbwa kwa kutegemea matapishi ya mlevi!!!!!!!!!!!
we unategemea sisi tushindwe kwa kwasababu ya ratiba kuwa mbovu na kuwa na majeruhi teh teh! kweli tunawanyima usingizi i like it pale ambapo unajua ukweli!
haya subiria tuumie ndo tushindwe! your resourses are weak if that the case and we are strong!
Kwa pesa walizonazo Man City na bench walilonalo sioni sababu ya majeruhi ya mchezaji mmoja au wawili kuwa kisingizio cha kufungwa. Silva ni kama hakuwepo jana usiku, Yaya aliwekwa mfukoni na Matic, Hazard aliinyanyasa beki ya Man city alivyotaka na showboating za kutosha
Pellegrini nadhani ana fear factor akikutana na Jose, match ya kwanza alifungwa kwa sababu alipanga hovyo team yake. Jana kampanga Demichellis katikati wakati kuna Milner na Rodgwell bench
Lakini kingine mkubali tu jana mlikutana na master tactician, na Pellegrini analijua hilo, muulizenu kakutana na Jose mara ngapi na mara ngapi kaambulia patulo, mechi nyingine kapigwa mpaka goli saba(7)
Robby Savage anauliza; Demichelis had a disastrous night, but were City's struggles in midfield all down to him? I am not so sure.
Mkuu km ni mtu Wa kuelewa Huyu daviey69 atakua kaelewa!
Kocha Wa City alipagawa ndo maana akampanga Demichelis km kiungo mkabaji Ili angalau awe na safu ya ulinzi imara! Lkn cha ajabu Hazard, Willian, Ramires, Matic wakawa wanapita tu Na kumtesa sn!
Haina haja ya kusema sn Mkuu! Tumepiga kelele sn juu ya hii game Hapo nyuma hasa MKAKATI Wa Jose
Asta la vista wote ngoja tusubiri! We changanua sijui analyze tutaona kwani mbali?Mkuu km ni mtu Wa kuelewa Huyu daviey69 atakua kaelewa!
Kocha Wa City alipagawa ndo maana akampanga Demichelis km kiungo mkabaji Ili angalau awe na safu ya ulinzi imara! Lkn cha ajabu Hazard, Willian, Ramires, Matic wakawa wanapita tu Na kumtesa sn!
Haina haja ya kusema sn Mkuu! Tumepiga kelele sn juu ya hii game Hapo nyuma hasa MKAKATI Wa Jose
we nnshamalizana nawe kwakukuambia kuwa subiri tucheze kwa kuchechemea kwa sababu ya ratiba kama ulivyosema hapo mwanzo ndo nyie mshinde till then we are ahead of ya and always ahead Broo!Mkuu post ya Mkuu Mourinho ametoa maelezo mazuri sn! Nyie sio watu Wa kulalamika mejeruhi wakati Mko na wachezaji kibao na fwedha kibao! Game ya Jana kwa wachezaji tu uwanjani ilikua Na thamani Zaidi ya Paund 500 Mil. Ndio game ghali ktk ligi ya EPL.
Msilalamike ndugu yng! Narudia tena kwa jinsi ratiba ilivyokaa na Kikosi chako kilivyo utapata shida! Game ya Chelsea na wewe ya FA ukicheza sn Ili Ushinde basi Barcelona atakuja akufunge Hapo Etihad kwenye UEFA. Sasa kz kwako, Unataka UEFA au FA?
Nafurahi sn kuona umeanza kulialia! Mara majeruhi Mara sijui nini!?
Pole sn! Huyo ndo Mourinho
We are Legendary...tumeviangusha vigogo vyotesawa but msijipe mahope sana ur still behind us!
Akiendelea kutumia mfumo wa 4-4-2 Vs Mourinho kwenye FA Cup anaweza kukutana na matokeo kama haya au akibishana sana atapata droo
Chelsea inakua kama team kwa kweli, match ya jana tactically and technically spot on, Matic, Willian, Cahill, Luiz walikua brilliant ila Hazard ni wa sayari nyingine. Na Willian ali justify uamuzi wa Jose kumuuza Mata
Mkuu tutegemee kuona maangamizi tena! Kwasababu ratiba imekaa vibaya sn kwa City! Alafu city hana Sub nzuri Zaidi ya waliomo uwanjani!
Ila Mkuu namuonea huruma Kocha Wa taifa la Brasil ktk kuchagua wachezaji na kupanga timu hasa kwa nafasi ya kiungo mkabaji! Maana Luiz anatisha sn! Na kuna Paulinho, Fenandinho, Gustavo,Ramires. Yani Hapo unachanganyikiwa!
good for you we will see............................We are Legendary...tumeviangusha vigogo vyote
Luiz akiwa Brazil ni beki, partner wa Silva, Paulinho ni namba 8, nadhani mchuano ni kati ya Ramires na Fernandinho maana Scolari anampenda Luis Gustavo zaidi. Paulinho naye atahitaji kugombania namba na Willian maana William ameimprove sana chini ya Mourinho
today, 11:00 PM, EAT LIVE STREAM LINK
Man City hatuaibiki kilaini hivyo wewe mwenyewe unajua! its jus tu jana tuliweka madharau kidogo kwamba lazima tushinde plus majeruhi wakati chelsea hawakua na majeruhi! kwa hiyo msijigambe sana!
cc; mwekundu na Ntuzu
vip ushapika? haya kapasi nguo zangu za kesho, piga viatu rangi...mwanaume kesho nitoke smart....haya haraka futikaaaa! nyambafu ni mwiko kwa wanawake wenye majukumu kuwepo kwenye Jamii Forum Kuanzia saa kumi na nusu!utaendelea kubwabwaja kama morta lakini mshakabwa koo nyie
na wala hatabanduka hapo mlipo labda aje kocha mwingine mzee
kama fagasoni
vip ushapika? haya kapasi nguo zangu za kesho, piga viatu rangi...mwanaume kesho nitoke smart....haya haraka futikaaaa! nyambafu ni mwiko kwa wanawake wenye majukumu kuwepo kwenye Jamii Forum Kuanzia saa kumi na nusu!
home duties call!
Luiz akiwa Brazil ni beki, partner wa Silva, Paulinho ni namba 8, nadhani mchuano ni kati ya Ramires na Fernandinho maana Scolari anampenda Luis Gustavo zaidi. Paulinho naye atahitaji kugombania namba na Willian maana William ameimprove sana chini ya Mourinho