daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 873
sorry Beijing ni chakula gani? as assistant head of the family, im not sure if Big Dad has to cook for you unless you want to endanger you package! Be a nice lady for Dady!huo uanaume wako peleka huko kwenu tarime na sio hapa jf
hapa wote ni mwendo mdundo halafu mfumo dume tushautokomeza beijing
hivyo leo ni zamu yako wewe kupika na kunifulia nguo haraka nyanyuka hapo kitini nenda jikoni
kabla sijafungua macho yangu nitakutoa nduki haraka nasema nyanyuka