subiri uone.. hata liverpool alitangulia..
Hahahaha! Tumewakosa Goli nyingi sn!
Kwanzia Leo muipe Chelsea Kombe tumemfunga mbabe wenu !
Ndetichia Usiwe mbishi nimekuzidia na una bahati tu mpk sasa ningekua nimeua game kwa Zaidi ya goli 3.
kwani ndondi hizo? We subiri mda bado mtatupa taulo etihad.
kama ndio hivo mbona ungekuwa ushakaa kitambo sana..
Jose liweke hilo dude la TAZARA,washaelekea kibra hawa man shty
Mmmmmmmmmmmmh, huyu Matic huyu.
Jose liweke hilo dude la TAZARA,washaelekea kibra hawa man shty