Manara njoo CCM, huku panakufaa na hutajutia

Serikali ya ccm inafaa impe uKuu wa wilaya Haji Manara anawafaa Sana ccm kwenye sekta ya kuupepeta mdomo hii ni hazina kubwa Sana haifai kukaa benchi
 
Naam.

Kwako Haji Manara.

Nipo CCM kitambo sana. Naijua ndani nje hadi nakinai.

CCM yetu ya sasa inawahitaji watu kama wewe. Njoo usaidie kupambana na wapinzani.

Tena, ikiwezekana upewe kile cheo cha Shaka, mbona CCM patanoga maana sio kwa shombo hizo.

Tahadhari:
Chadema ina wafuasi wa ki Imani zaidi kuliko maslahi. Wafuasi ambao wapo tayari wakati unaofaa na usiofaa. Wafuasi wenye roho ngumu.

Tofauti na viongozi wao (baadhi) wafuasi wao wanaamini maisha katika nchi inayotawaliwa na Chadema na si vinginevyo.

Wanaamini zaidi katika haki, amani na upendo hasa uzalendo wa Taifa lao Tanzania. NI wafuasi waliochoshwa na madhila ya CCM kwa msaada wa Jeshi la Polisi.

Hawana maslahi na chama hivyo hawana cha kupoteza. Ukitaka kuwaelewa zaidi tafuta interview za Lazaro Nyalandu akiwa Clouds.
Ki ufupi wapo hivyo.

Nakuambia haya ili uelewe vema aina ya wapinzani na uweze kuangalia propaganda gani utapiga nao.

CCM mbele kwa mbele. Kazi iendelee.

Jongea huku CCM chukua cheo cha Shaka. Piga kazi. We ni brand kubwa kwa sasa!

CCM Music.
Unamaanisha tabia yake ya uropokaji na kupaniki huko inakubalika?
 
Alikuwa katibu mwenezi wa ccm dsm alikuwa anakodi magari ya watu haswa gx 100 yeye na matapeli wenzake wa lumumba pale wanafanya manuva wanatengeneza kadi wanayauza akaenda kula bata dubai, kikwete alimuhurumia akapangua kesi ile ndipo baadaye simba wakampa maisha akatoka uswazi akahamia mikocheni mwishowe juzi akawachamba na simba pia

Jamaa mtata sana.
 
Halafu na jamaa mmoja Arusha kama Manara kabisa aliwahi kufanyakazi bank alikuwa mtata sana.
 
Naam.

Kwako Haji Manara.

Nipo CCM kitambo sana. Naijua ndani nje hadi nakinai.

CCM yetu ya sasa inawahitaji watu kama wewe. Njoo usaidie kupambana na wapinzani.

Tena, ikiwezekana upewe kile cheo cha Shaka, mbona CCM patanoga maana sio kwa shombo hizo.

Tahadhari:
Chadema ina wafuasi wa ki Imani zaidi kuliko maslahi. Wafuasi ambao wapo tayari wakati unaofaa na usiofaa. Wafuasi wenye roho ngumu.

Tofauti na viongozi wao (baadhi) wafuasi wao wanaamini maisha katika nchi inayotawaliwa na Chadema na si vinginevyo.

Wanaamini zaidi katika haki, amani na upendo hasa uzalendo wa Taifa lao Tanzania. NI wafuasi waliochoshwa na madhila ya CCM kwa msaada wa Jeshi la Polisi.

Hawana maslahi na chama hivyo hawana cha kupoteza. Ukitaka kuwaelewa zaidi tafuta interview za Lazaro Nyalandu akiwa Clouds.
Ki ufupi wapo hivyo.

Nakuambia haya ili uelewe vema aina ya wapinzani na uweze kuangalia propaganda gani utapiga nao.

CCM mbele kwa mbele. Kazi iendelee.

Jongea huku CCM chukua cheo cha Shaka. Piga kazi. We ni brand kubwa kwa sasa!

CCM Music.
Yule ni chadema huko insta kuna kipindi alionyeshaga hisia zake wazi wazi.labda aende yanga
 
Back
Top Bottom