MANAGER WA TRA KULINDA WAKWEPA KODI

MANAGER WA TRA KULINDA WAKWEPA KODI

Nitauweka hapa punde tu, ninaushahidi wa kutosha, nakamilisha mambo machache. Ni vema tuwe na wazalendo wa kweli wa Nchi yetu, tutafichua Kila Kona tuilinde Nchi yetu na mafisasi
Ulitakiwa kuanza na ushahidi siyo haya maneno kwamba una ushahidi utauweka.
Watu Kama wewe hamfai kuitwa kwenye vikao vya maamuzi.
 
Manager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
WEka ushahidi ili ku support. Lifanyiwe kazi
 
Mzigo wa Spirit umekamatwa jana tarehe 15/04 /2025 saa 10.jioni maeneo ya uchira. Vijana wa FAST TEAM wanekaa na gari mpaka saa 12. Jioni, Manager kupitia Msaidizi wake akapiga simu kuwaambia vijana wa fast waachue mzigo, na truck imeenda kushusha kwenye kiwanda Cha tajiri huyo Njia panda ya Machame. Na hiyo ni truck ya tatu mwezi wa march na April. Manager/ na Msaidizi anaingulia ukamataji.Taarifa kamili za ushahidi zimepelwkwa makao makuu sehemu husika ikiwa ni pamoja na number za magari, wakamataji (FAST ) na mlinda wakwepa Kodi. Aminii Hilo.
 
Asipo jirekebisha nitaweka ushahidi wote hadharani. Mm ni mlipa Kodi kindakindaki alafu mtu anakwepa Kodi kizembe kutunisha matumbo yso
Inaonekana wewe ni mtumishi huyo meneja kakubana huo mzigo ulitaka rushwa kakushtukia ulitaka bambikia mlipakodi meneja kakuwasha sasa unakuja huku leta kelele. kama kweli lete ushahidi siyo tishia nyau eti asipojirekebisha. hii inaitwa majungu na hapo ninauhakika huyo meneja kakubana huna pakupumulia. Kama kweli weka ushahidi basi
 
Back
Top Bottom