Manabii wanaokwenda na wakati

Ndo nakamilisha taratibu mkuu na mm niazishe kanisa langu nahv jna langu Mohammed, ntajiita tu nabii mohamed alafu nkisema tu nilkuwa muislam bwana akiotesha akaniambia ntoke huku nilko nkalitangaze jina lake daaah hiyo nyomi la kondoo n shida
Jina lako mohamed af tena kuna cadinaly. Utawavuna balaa
 
Sadaka za nyumbu zipo kwanini asile bata
Cheki hapa Bushiri hapa chini;-

Kumbuka, "Walitaka kumfanya Yesu kuwa mfalme wao, akakataa , aliyajua mawazo yao" Pia shetani aliwahi kumjaribu Yesu jangwani kwamba atamfanya falme iwapo atamsujudia...Yesu alikataa;

Now cheki ishara za hawa watu wanavyoupenda ulimwengu huu







Hapa chini, mke wa Bushiri na mke wa Eubert Angel



Cheki wengine hawa hapa; Kumbuka hii ni Team, kwahapa Tanzania kuna Nabii anaitwa Frank yupo Tanga, na mwingine Arusha. Ni team moja na hawa; Wanapenda sana uwaite "Baba". Cheki hapa mambo yao....

















Huyu hapa chini anaitwa Makandiwa



Huyu hapa chini anaitwa Jeremiah



Check waimbaji wao;-



Awwww...hapo chini , panawasha....eeeishhhhh



Check kivazi hapo chini...,



 
Hapa Eubert Angel akiwa na designer wa nguo maarufu ulimwenguni... USA

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…