Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Khe khe kheView attachment 85691
Nimeona kweli hamshkiki
Wanasema ukitaka kujuwa vichochoro kula nauli
Kuna goli gani la utata pale? Je ni mchezaji gani wa Man u Kafunga?
acheni ushambenga.... Kama red card, refa amefanya makosa ya uanadamu tu, lakini kachezesha vizuri sana

umeona enheee sasa hivi kimya bora watafute timu mapema za kushangilia..
Timu dhaifu, Giggs awezi pambana na vijana wa RM, Rooney nje, Nani badala ya Young Ashley n.k. Ni mawazo yangu
Wewe ndo tukushangae, ina maana hii ni mara ya kwanza Man United kubakwa na Real?leo mtaongea yote, kiukweli ningeona maajabu ya dunia man u kuitoa madrid
Kuna goli gani la utata pale? Je ni mchezaji gani wa Man u Kafunga?
acheni ushambenga.... Kama red card, refa amefanya makosa ya uanadamu tu, lakini kachezesha vizuri sana
yaani sasa tutatulia jamvini manure wanajifanya wanajua sana yaani hapa roho kwatu..