mkuu mbona huna fair play?
Timu dhaifu, Giggs awezi pambana na vijana wa RM, Rooney nje, Nani badala ya Young Ashley n.k. Ni mawazo yangu
ha ha luis nani katia forafair play?watu wanaruka karate?
They did their BEST tonight, only luck wasn't on our side. GGMU.... Kudos lads
Ha ha..no more comments!!
umejuaje mkuuNa bahati yenu leo ingekua 1-4, semq Ronaldo alikua na agenda flan