Mkuu hata usijali sana hilo leo punda afe ila mziko ufike sokoni hilo ndo kubwa..Naangalia hapa mpaka nacheka, ila Chelsea wamezidiwa kiwango na Wigan (kwa vipimo vya waonyeshaji), hii ni mbaya sana
Wapi Manda,Belo,Eqylpz,mmbebabox,Idimi,Mtaalam,Roya Roy na wengine??????????????....Leo naona hawaonekani kabisa hapa
Wapi Manda,Belo,Eqylpz,mmbebabox,Idimi,Mtaalam,Roya Roy na wengine??????????????....Leo naona hawaonekani kabisa hapa
Dogo kaumiaRooney OUT, Park in! Anaonekana hana raha kabisa. Man U mambo si mazuri dakika hizi (75-77)