man u vs man city live

man u vs man city live

haya wana jamii mpira ni dakika 53 inakua ni corner pale kuelekea man city
 
anakamata vizuri hapa haert n anaondosha mbele kwakee nasri yaya toure
 
dakika ni 56 kwake evra unachukuliwa na d.silva kwake giggs anapiga kwa kichwa vizuri company inakua ni wa kurushwa kuelekea man city
 
kwake yay toure nasrii anachukua rafael inakua ni foul
 
dakika ya 58 man u wanarejesha hapa
 
haya wana jf dakika ni ya 64 1-1
 
unapigwa pale inakua ni corner kuelekea kwa man u
 
unapigwa na de gea anakamata vizuri kabisa anpiga mbele pale
 
kwake ashley young van persie rooney inakua offside
 
dakika ni ya 70 bado ni 1-1 kwakee yaya toure david silva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom