man u vs man city live

man u vs man city live

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
tupo pamoja kukuleteeni update kati ya man u na man city live man-u-starting-lineup.jpg
 
haya timu zopte mbili zinaingia uwanjani
 
haya dakika ya kwanza mpira umeshaanza
 
kwakee wellbeck anampasia evra
 
anapiga mpira silva n aunatoka nje inakua goal kick
 
unapigwa mpira pale na unatoka nje katika lango la man u
 
mpira unachukuliwa hapa na evra kwake jones roney kwake v.persie anapiga mpira hapa inakua hatari katika lango la man city mpira unatoka nje inakua goal kick
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom