man u vs man city live

man u vs man city live

dakika ni 14 kipindi cha kwanza bado ni 0-0
 
kwakee carlos tevez anapiga mpira pale unatoka nje ina kuani corner
 
inapigwa kuelekea lango la man u unapigwa mpira unatoka nje inakua goal kick
 
mpira ni wa kurushwa kuelekea lango la man city anarusha pale evra
 
kwake rafael unachukuliwa mpira pale na silva kwake nasri
 
ni wa kurushwa kuelekea lango la man u
 
anarusha mpira pale kwake company tevez nasrii yaya toure anapiga pale ooooohhh anakosa pale kwake gigs
 
ilikua hatari pale katika lango la man u kwakee wellbeck anapiga kwa kichwa pale gigs mpira unadakwa na goalkeeper wa man city hart
 
toure kwake nasri kwake unachukuliwa na wellbeck
 
yaya toure silva nasri kwake tevez anaondoa katika hatari hapa rio fernand
 
anapiga silva hapa lakini unatoka nje inakua goal kick
 
anapiga mpira milner na degea anakamata kwa uzuru kabisa anapiga mbele kuyle kwake
 
david silva anapewa kadi ya njano kwa kuunawa mpira
 
dakika inaenda ya 30 hiyooo bado ni 0-0
 
free kick inapigwa kuelekea katika lango la man city
 
inakua ni corner anapiga corner pale rooney
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom