man u vs man city live

man u vs man city live

anapiga na mpira unamkuya ashley young anapiga pale inakua goal kick
 
kwakee company mbele kabisa palee unaukamata mpira pale kipa wa man u
 
carrick anafanya foul hapa n ampira unapigwa kuelekea katika lango la man u
 
unapigwa pale mpira unamgonga well beck kwake rio fernand
 
dakika ni ya 36 mabao ni nunge kwa nunge
 
kwake nasri toure silva unachukuliwa mpira na young anapiga mpira inakua ni corner kuelekea kwa man city
 
unapigwa corner kwakee evra anapiga kwa kichwa unatoka inakua ni goal kick
 
gigs anamuangusha hapa yaya toure unapigwa pale kwake teveze company
 
Man City hawana ubavu wa kupambana na Man United.
 
kwaunarushwa hapa kuelekea lango la man u unarushwa mpira na company hapa anaangushwa hapa young n ainakua ni foul inapigwa na persie unatoka nje inakua ni goal kick
 
company anapewa kadi ya njano kwa kumuangusha ashley young dakika ni ya 43 hakuna bao
 
kwake rafael well beck unatoka nje hapa inakua ni wa kurushwa kuelekea man city
 
na mpira ni half time mabao ni man u 0-0 man city
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom