man u vs man city live

man u vs man city live

si muda mrefu mpira utanza ngwe ya pili
 
tayri timu zote 2 zishaingia uwanjani
 
namuona nasri hapa anamwambia yay tour vipî mzee nimekupa pasi pale ulikua upige bonge la shoot halafu umepiga kadogo hayaaa mpira ushaanza
 
nasri anapiga pale inakua foul katika lango la man u na mpira unapigwa kuelekea man city
 
corner pale katika lango la man city
 
Mpira ni mbovu sana.Umenishinda...nimeamua kuondoka. Uingereza ni wazee wa promo tu...hakuna soka kabisa. Najuta kupoteza dakika zangu 45 kutazama madudu
 
kwake gigs roney wellbeck carick van persie
 
goooooooooooooooooooooooooooooll
 
dakika ya 51 man city wanapata bao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom