Man paquao vs Floyd may weather on 2may2015

matengongolo

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
305
Reaction score
104
Mimi nimekuwa nawafuatilia saana hawa jamaa kwa mda mrefu katika tasnia ya ndondi .
Jee wewe kama mdau wa masuala aya na mkali zaidi ya mwenzake?.
Apa tuangalie uwezo wa kwenye ring ,techniques na mapambano yaliopita karibuni wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…