XinKumi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 1,276
- 1,146
singeri ni upuuzi wa uswahilini,
Hata kina Sugu,Prof J,na wengine weengi wakati wanaanza walionekana ni wahuni wasio na tija. Leo hii tunawatukuza kwa nguvu zote.
YNWA
singeri ni upuuzi wa uswahilini,
Mimi huwa namsubiri kicheko saa mbili!Wapi nitapata hizo nyimbo zao.
Zinanikosha mno