Mbona hamchomoi?chomoeni nikalale bhana!dk 89 city 0 - 1 barca
Mkuu thanks kwa information... ntaomba na matokeo kamili gemu ikiisha.
Man city anashinda hii game ya leo
Barca 2 city 0 ,,, Mpira umeisha
utabiri wangu mancty 2 FCB
tutawatolea kwao maana tushazoea kushindia ugenini hasa kwa timu kubwa ref. bayern.