adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,606
- 7,809
Mamonita..hahahaa..Kuna mmoja alituambia tutafute Mbwa wa mwalimu..acha kabisaaa...
sasa mamonita ilimekaa kikike kike atleast ungeandika kwa usahihi ningeelewa kwa haraka nanisinge-ufungua huu uzi.Afadhali umekiri umekuja haraka, ningemaanisha huyo ningesema monitress
Sio tu baada ya shule, mwalimu anaweza akambadilisha, au mwaka ujao tunaweza tukabidilishiwa tukiwa la NneLakin nilichogundua mamonita wengi wana nidham ya woga kwa mwalimu,ndo maana wanaishia kuonea wanafunzi .Wanasahau kama kuna maisha baada ya shule.
Mlimpata? Mara anaweza kuwaagiza kumkamata aliekimbia na visheti vya mwalimuMamonita..hahahaa..Kuna mmoja alituambia tutafute Mbwa wa mwalimu..acha kabisaaa...
Wapi hatukumuona na matokeo yake sasa ..akaoneka Boya tu..Kwani sisi ni walinzi wa Mbwa ...Tulienda skuli kuangalia mbwa au..Mlimpata? Mara anaweza kuwaagiza kumkamata aliekimbia na visheti vya mwalimu
Ok Moderator / Founder wa JFBronze member, hope mawazo yako yatafanyiwa kazi, maana sio lazima kila kitu kieleweke kwa kusoma haraka, vingine vinahitaji kufikiria zaidi