Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
We mwenyewe mbona mchoyo kama Rejao?Kiukweli anastahili sifa,
Hongera sana mamndenyi!
Hapa ndipo tunajuana maana kuna watu wanabana na 'like'wakati wanatumia pc,wale wa kwa simu hilo linaeleweka na siku wakiwa kwa pc huwa tunayaona malike yao ya kufa mtu.
We Saint Ivuga usintafute ubaya na Mwali....................kwani bado mko wote.........lolnimekudondokea Elizabeth Dominic
We Saint Ivuga usintafute ubaya na Mwali....................kwani bado mko wote.........lol
Haya tena platozoom unahubiri nini na unatenda nini?.................haina mbaya lakini mi niko zangu Nangurukuru
Ondoa shaka, kwani samaki nchanga uwa unatumia? miye napendelea maeneo yoyote yale yenye mandhari mazuri..........uwa nasikiaga kuna hilo disco linaitwa kwa Mbowe mara sijui lingine linaitwa Maisha na pia Ambiance...........ningetamani fika huko siku moja..........:smile-big:Kwani vibaya kufahamiana...Nangurukuru si mbali, najua kuna samaki hapo utanikumbuka wakati fulani kwa angalau kipande.................Zaidi ya nangurukuru unapenda kutembelea maeneo gani?
Ondoa shaka, kwani samaki nchanga uwa unatumia? miye napendelea maeneo yoyote yale yenye mandhari mazuri..........uwa nasikiaga kuna hilo disco linaitwa kwa Mbowe mara sijui lingine linaitwa Maisha na pia Ambiance...........ningetamani fika huko siku moja..........:smile-big:
Qamunga ni jina Babu yangu ambaye amefariki miaka zaidi ya kumi.......lakini bahati mbaya pia sijaenda siku nyingi kwa wajomba...Richard simfahamu
Kiukweli anastahili sifa,
Hongera sana mamndenyi!
Hapa ndipo tunajuana maana kuna watu wanabana na 'like'wakati wanatumia pc,wale wa kwa simu hilo linaeleweka na siku wakiwa kwa pc huwa tunayaona malike yao ya kufa mtu.
Tafsiri fasaha au ya kuchakachua?
We Saint Ivuga usintafute ubaya na Mwali....................kwani bado mko wote.........lol
Uchoyo wa LIKES, we ulitafsiri nini? Hujakua kumbe?Uchoyo wa nini we babu hukui.
Uchoyo wa LIKES, we ulitafsiri nini? Hujakua kumbe?
Labda ni macho yangu tu.......Lakini huyu Member maarufu sana kwenye Jukwaa hili na Mahusiano..hana uchoyo kabisa linapofika suala la kugonga likes.
Tembelea tembelea thread za watu kama atakuwa yupo hewani kwenye post lazima utaona amegongea watu "like". Hata mimi ndiye mtu anayeongoza kwa kunigongea like.
Congratualtion Mamndenyi kwa roho ya kitajiri.