mamndenyi for next Big Brother......

au niseme nimeshakusend off
ila mwenye mume ameshaelewa hana tatizo na hilo
hakuna cha big ni mzee wa lubisi anataka tukale tu bata hapo south
sasa ameona atachomokaje kwa wakeze akina Kongosho, The secretary na wengineo wengi kama saccos

Umenihand over kwani nimekuwa gari Mamndenyi
Si nimeona mwaliko wako wa kwenda big buraza aise
 
Last edited by a moderator:
au niseme nimeshakusend off
ila mwenye mume ameshaelewa hana tatizo na hilo
hakuna cha big ni mzee wa lubisi anataka tukale tu bata hapo south
sasa ameona atachomokaje kwa wakeze akina Kongosho, The secretary na wengineo wengi kama saccos


Mhhhh Bishanga angalia sana usije ukaachiwa bill mezani hazijalipwa na chumbani ukajikuta unalala kwenye corridor
 
Last edited by a moderator:
au niseme nimeshakusend off
ila mwenye mume ameshaelewa hana tatizo na hilo
hakuna cha big ni mzee wa lubisi anataka tukale tu bata hapo south
sasa ameona atachomokaje kwa wakeze akina Kongosho, The secretary na wengineo wengi kama saccos

Akuuh mume wa kazi gani wakati mabachela kibao cc: Arushaone na Erickb52 for verification
 
Last edited by a moderator:
The secretary repeat again
umesemaje vile sijakusikia vyema
Naona kuna kelele za vyura na kuku wa jirani hebu rudia tena
copy Bishanga

Yale yaleeeee ya kusubiria meli airport,utasubiri sana niachane na darling The secretary..... Mr Rocky wastara hazumbuki wa mbili havai moja.....wa kupata ni wa kupata tu,mi na mke wangu The secretary until death do us apart......habari ndo hiyo!
Copy waione Erickb52 na Arushaone...........keep distance from my wife au la andaeni kucha kunyofolewa....last warning meeeeen!
 
Last edited by a moderator:

Sasa Bishanga kama unajiamini wewe ni kidume cha mbegu hiyo warning ni ya nini sasa
We jichanganye tuu uone kama hutaambulia kuhisi tuu harufu ya The secretary wakati kashakuacha kwenye mataa The secretary hebu kamu zis wei umuone Bishanga anavyoweweseka akisikia kuna vijana akina Arushaone na Erickb52 wanakatiza mtaani
Unajichanganya until death do you apart huku unatoa warning kaa mbali na wife hueleweki Bishanga kajipange upya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…